BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SIJUI KAMANDA KOVA ANAMKINGIA KIFUA PROFESA JUMA KAPUYA ?.

KOVA:MHE.KAPUYA HANA KOSA LA KUHOJIWA NI MAMBO YAKE BINAFSI, NI KUHUSU ILE ISHU YA KUBAKA NA KUMWAMBUKIZA MTOTO NGOMA. 
Akiongea na wanahabari leo mchana kamanda kova kasema hawawezi kumuita Mhe. Kapuya kasababu haya ni mambo yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye anakuja hapa polisi kulalamika kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya.
"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: