ANAYEDAIWA KUMUUA PADRI EVARIST MUSHI AACHIWA KWA DHAMANA YA SH 1 MILIONI NA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR. mtanda blog 9:37 PM Edit MAHAKAMA Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evarist Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment