BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!! MALORI YAGONGANA NA KUZIBA BARABARA YA CHALINZE-TANGA ENEO LA MTO WAMI.

Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami.  Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro.
Ajali mbaya imetokea muda huu eneo la mto Wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo.

Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hay o yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: