Hapa ndipo alipolala kocha wa klabu ya Simba Sport Club, James Kisaka baada ya kuzikwa leo katika kijiji cha Lusanga wilaya ya Muheza mkoani Tanga. MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI MPENDWA WETU, AMINA.
JAMES KISAKA ENZI ZA UHAI WAKE.
Hapa ndipo alipolala kocha wa klabu ya Simba Sport Club, James Kisaka baada ya kuzikwa leo katika kijiji cha Lusanga wilaya ya Muheza mkoani Tanga. MWENYEZI MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI MPENDWA WETU, AMINA.
0 comments:
Post a Comment