BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MBUNGE FILIKUNJOMBE ABEBWA MGONGONI NA WANANCHI WA JIMBO LAKE KISA.........


Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa amebebwa na mpiga kura wake kama kumpongeza kwa utendaji wake mzuri.



Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia baada ya kupongezwa kwa kubebwa mgongoni na mpiga kura wake

Mbunge Filikunjombe kati akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa mkazi wa manda huku mkewe Habiba.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: