WAKILI wa Chadema Tundu Lissu kulia akisalimiana na Mhe Zitto Kabwe katika mahakama kuu kandab ya Dar es Salaam baada ya kumazika kwa kesi iliyofunguliwa na Kabwe.
Katika maombinamba 1 ya mwaka 2014, Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, aliiomba Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kuizua Kamati Kuu (CC) ya Chadema kumjadili au kuchukua uamuzi wowote kuhusu uanachama wake.


0 comments:
Post a Comment