KLABU ya Real Madrid imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya robo fainali
ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuilaza
Schalke kwa mabao 6-1 katika mchezo uliofanyika nchini Ujerumani.Mabao ya Real yalipachikwa wavuni na washambuliaji wao akiwemo Karim Benzema, Gareth Bale na Cristiano Ronaldo wote wakifunga mabao mawili mawili, Klaas Jan Huntelaar nae akaifungia bao la kufutia machozi Schalke.

0 comments:
Post a Comment