MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Mirimba, ametaka vazi la Kimasai kuwa maalumu wakati wa vikao vya Bunge hilo.Ester ni mwakilishi wa kundi la wafugaji kutoka Chalinze, alisema hayo wakati wakijadili kuhusu aina ya vazi linalowafaa ambapo mvutano ulizuka wakita kanuni za uendeshaji wa Bunge hilo ziainishe aina ya mavazi.
Hoja hiyo iliibuliwa na Jonh Mnyika alipotaka kanuni itambue vazi la Kitanzania, ikiwemo kuruhusu nguo za vitenge.TANZANIA DAIMA

0 comments:
Post a Comment