Ajali
mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani.
Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya
watu waliopoteza maisha.
Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.SOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment