Wakati Maureen Galyon akitarajia kujifungua mwaka 1951, hakujua kama angepata watoto wawili. Hakufikiria kama angepata mapacha walioungana. Alipata mshituko kupata mapacha walioungana (Donnie & Ronnie) lakini ameweza kuishi nao kwa upendo hadi leo ni watu wazima.

0 comments:
Post a Comment