Mwandishi wa habari wa kampuni ya Business Time Morogoro, Lilian Justice wa kwanza kushoto akiwa na wahitimu wenzake kutoka wizara ya mambo ya ndani ya nchi, Salum Sembua na Mwandishi na Mtangazaji wa kituo cha Abood Media, Vumilia Kondo wakifurahia jambo mara baada ya kuhitimu kozi ya uandishi wa habari ngazi ya stashahada katika mahafali ya chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ) yaliyofanyika jengo la chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine Morogoro (SUA) viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Nane Nane mkoani Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG
Katibu Tawala mkoa wa Morogoro, Eliya Ntandu akimkabidhi cheti Mwandishi
na Mtangazaji wa kituo cha Abood Media,Vumilia Konda baada ya kuhitimu
kozi ya uandishi wa habari ngazi ya stashahada katika mahafali ya chuo
cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ) yaliyofanyika jengo la chuo kikuu
cha kilimo cha Sokoine Morogoro (SUA) viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere
Nane Nane mkoani Morogoro.kushoto ni Ni Mkuu wa chuo hicho Augustino Nongwe.
Katibu Tawala mkoa wa Morogoro, Eliya Ntandu akihutubia katika mahafali hayo, kushoto ni Ni Mkuu wa chuo hicho Augustino Nongwe.
Wahitimu wakishindana kucheza muziki.
Huyu akionyesha mazingaombwe
Hapa wahitimu wakifuatilia matukio.
Hawa wakionyesha picha baada ya kupiga wakati wenzao wakicheza
Kulia ni Mwenyekiti wa Morogoro Press Club Idda Mushi baada ya kutoa zawadi kwa mhitimu.
Sehemu kubwa ya wahitimu.
Waingia ukumbini
Picha ya pamoja.
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment