Kwenye audio ya wimbo huu Jay Z amehusika lakini kwenye hii video ameonekana Rozay tu aki-rap verse yake ya kwenye wimbo wa Devil is a lie.
Wimbo huu upo kwenye album mpya ya Rick Ross ambayo ilishika namba moja kwenye mauzo ndani wiki yake ya kwanza sokoni ikifuatiwa na G.I.R.L ya Pharell William.

0 comments:
Post a Comment