HII NDIYO SIRI KIDOGO TU KWENYE UPANDE WA MAPENZI, JEE UNAIFAHAMU WEWE ?.
UNAJUA wanawake bwana wapo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake hawaeleweki”.
WANATAKA WAWEJE ?.
Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa ukweli japo wengi wanadai eti bila kumdanganya eti huwezi kumpata la hashaaa au hawaingiliki kirahisi hilo hapana.
Wanawake wengi hupenda kuspend muda wake zaidi na wake mpenzi kuliko na marafiki zake, Mwanamke hupenda mwanaume anaejali zaidi kuliko mbabaishaji “sasa wewe jifanye gogo tuone kama utapata mrembo”.
Jeuri ufanyiapo mwanamke dhahiri huwa unamvunja moyo na hukushusha thamani yako pindi umfanyiayo yakawa yale yanayo mdharaulisha zaidi.
Mthamini mpenzi wako hata ukiwa na watu wengi, onyesha unajali kuwa nae karibu, hujiona wa pekee.
Mwanamke hupenda kusikilizwa japokuwa wanaume hujifanya vichwa na kuwaona hawana la kuongea lakini sio kweli ni fikra zao tu.
Msikilize mpenzi wako uone kama na wewe hatokusikiliza
Mwanamke huthamini sana msg za mpenzi wake kuliko simu apigiwayo na mwenza wake, maana kuona faraja zaidi pindi asomapo msg hizo zaidi ya kupoteza muda kusubiri apigiwe au akupigie.
Msifie mkeo ama mchumba wako pindi apendezapo na kumpa faraja pindi aumizwapo.
Msikilize mchumba wako na usitumie lugha ya ukali akuombapo ushauri bali jaribu kuchunguza zaidi nini atakacho kwako.
Kila lililo dogo usilikuze bali lipe nafasi yake katika kutoa kipingamizi ama makubaliano.lasivyo utasababisha kutokujiamini
Onyesha unajali.
Mkumbuke kila wakati hata mara 2 kwa siku
Punguza jeuri na kauli chafu
ukifananya kati ya hayo hutopata misukosuko mingi na kumbuka kujishusha endapo ufanyapo kosa na acha kutumia mabavu zaidi kuliko upole.
haya jamani ni hayo tu labda utaona umuhimu wa mwenza wako zaidi ya kuliko kutoa lawama juu yake, wapendwa kama hamtojali kama kuna ambayo wakina kaka nao wanataka kutoa kero zao uwanja wenu
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / HIKI NDICHO ANACHOPENDA MWANAMKE KATIKA MAPENZI, MAANA WANAWAKE WAPO KAMA MAYAI !!!.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment