Home / Uncategories / HIKI NDICHO KILICHOFANYWA NA WABUNGE KATIKA UPIGAJI WA KURA YA NDIYO NA HAPA KATIKA KUAMUA MAMBO MBALIMBALI BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMAENI
HIKI NDICHO KILICHOFANYWA NA WABUNGE KATIKA UPIGAJI WA KURA YA NDIYO NA HAPA KATIKA KUAMUA MAMBO MBALIMBALI BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMAENI
MATOKEO YA KURA BUNGENI YAKO HIVI. 1. KURA ZA WAZI ZIMEPIGWA JUMLA 438 A. KURA ZA WAZI ZILIKUWA HIVI:- (1). NDIO 351 (2). HAPANA 87 2. KURA ZA SIRI:- (1). HAPANA 46 (2). NDIO 26 2. KURA ZA JUMLA ZA HAPANA:- (1). 133 (2). NDIO 376 KANUNI YA WANAOTAKA KUPIGA KWA SIRI NA WAZI IMEKUBALIKA RASMI.
0 comments:
Post a Comment