Lori la kampuni ya ujenzi ya C.G.I Constractions likimwaga kokoto nyembamba ikiwa ni ukarabati wa uwekaji wa lami katika eneo la daraja la Mwere linalotarajiwa kuzinduliwa na rais Jakaya Kikwete utaofanyika hivi karibuni mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment