BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MASHABIKI WAMWADHIBU MWAMUZI KWA KUSHUSHIA KIPIGO LIGI DARAJA LA TATU KILIMANJARO.


Mwamuzi Kabwe Corona akiwa amezongwa na mashabiki na wachezaji wa timu ya New generation inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.
Mashabiki wanaodaiwa kuwa ni wa timu ya New Generation wakivamia uwanja kwa ajili ya kutoa kichapo kwa mwamuzi.

Mwamuzi Corona Kabwe akijitahidi kujitetea.

Baadae New generation wakakubali penati ipigwe.

Kocha wa timu ya New generation Isaack Gamba akitulizwa na kocha Norman Kayange wakati akilalamikia penati hiyo.

Baada ya penati kupigwa na goli kufungwa mashabiki wakamgeuza asusa mwamuzi Kabwe Korona.

Mwamuzi wa akiba Henry Lymo pia alitishwa kidogo hapa.

Hivyo hali ilibadilika uwanjani na mchezo ukavunjika.http://jumakakunda.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: