RAIS KIKWETE KUSHOTO AKIWA NA MTANGAZAJI WA CHANEL TEN, SALUM MKAMBALA PICHANI.
Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publishers.info, Mkambala alipata ajali hiyo maeneo ya Chalinze alfajiri ya leo na hali yake inaelezwa kuwa ni mahututi baada ya kuumia vibaya.
Haijafahamika yuko hospitali gani kwani alikuwa peke yake kwenye gari na taarifa ilitolewa na msamaria mwema kwa simu ya Salum na baada ya hapo simu yake haipatikana tena. paparazi inaendelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / MTANGAZAJI WA CHANEL TEN SALUM MKAMBALA APATA AJALI CHALINZI MKOANI PWANI AKIELEKEA MOROGORO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment