BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NDEGE AINA YA BOEING 777-200ER YA SHIRIKA LA NDEGE LA MALASYIA YAPOTEA NA ABIRIA 239.

File:Malaysia Airlines Boeing 777-200ER MEL Nazarinia.jpgBOEING 777-200ER MALI YA SHIRIKA LA NDEGE LA MALASYIA

Ndugu wa abiria waliokuwa kwenye ndege hiyo wakisubiri taarifa kuhusiana na ndege hiyo Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi 12 inahofiwa kuanguka huko katika bahari kusini mwa China, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Vietnam.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777-200ER iliyokuwa inatoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing, ilikuwa imepotea kwa masaa kadhaa. Kama ripoti hiyo ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777) tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.


Ndugu wakifanya mawasiliano kutaka kujua ukweli
Malaysia Airlines bado haijathibitisha iwapo ndege hiyo imeanguka.
Share on Google Plus

About Unknown

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: