BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PICHA: KWELI KWA HILI TU, WEMA SEPETU ANAANGOOZA

 
NI mara chache sana unaweza kukuta celeb wako poa kuvaa vitu au nguo za kufanana, ila kwa Diva wetu huyu Madame Wema Sepetu, kwenye swala zima la kuvaa sare sare anaongoza kwa kweli,mara nyingi unaweza ku-notice pale anapokuwa ametoka outing,especially akiwa na mabeste wenzake anapendelea sana kuvaa sare sare.



Hii ni nadra sana kutokea especially kwa celeb wengi ambao kila mtu anataka atoke kipekee,kama ilivyo kwa ma-celeb wengi wakike wa nchi nyingi za nje,hawapendi sana kutokea kwa hiki kitu,na mtu yuko hata radhi akatishe safari zake kwa muda,apitie kwenye duka la nguo,anunue nguo nyingine abadilishe,ili tu kuepuka na jambo kama hilo ambalo mara nyingi hutokea kwa bahati mbaya, tena si kwa kupanga.

kwa huko nchi za wenzetu wanasema ikitokea mmekutana watu wawili mmevaa nguo sare,kwao wanaita siku mbaya, Kwa upande wa Diva huyu,inaonekana ni tofauti sana na celeb wengine, ana-swag tofauti kabisa, anaonekana kutojali swala hilo,hata kupanga kuvaa nguo zinazofanana at times yeye na mabeste zake.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: