BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

STARS NA NAMIBIA HAKUNA MBABE MECHI YA KIRAFIKI YA KIMATAIFA, YAMALIZIKA KWA SARE.


Mchezo wa kirafiki wa Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Namibia uliochezwa jana usiku huko Windhoek, Namibia umeisha kwa matokeo ya sare.Stars ambayo kwa mara ya kwanza inacheza mechi baada ya kuondolewa kwa kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen, ilianza kupata bao kwenye mchezo huo lilofungwa na Khamis Mcha katika dakika ya 87, kabla ya Namibia kusawazisha dakika mbili baadae na mpaka mwamuzi anamaliza mpira matokeo yalikuwa 1-1.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: