TUJIKUMBUSHE KATIKA HILI.
Lakini si Kujamiiana tu ! Bali ni kujamiiana kavu kavu, (ngono isiyo salama) !
utafiti huu
umefanyika Marekani kwa kuwahoji wanawake takribani 253, ambapo
ilibainika kuwa kati ya hao, wale waliokuwa wakishiriki tendo la ngono
pasipo ukame, tena bila kutumia kondomu, walikuwa na raha sana muda wao
mwingi, hawakuwa na msongo wa mawazo kama vile wale wasioshiriki kabisa,
au wale wanaoshiriki huku wamevaa kinga .!
Kuna furaha isiyokifani aipatayo mwanamke anayetenda
tendo hilo pasipo wahusika kuvaa kinga yoyote! Furaha hiyo huletwa na
Manii ya mwanaume yamwingiapo mwanamama huyu!
Utafiti
wa kisayansi umegundua kuwa manii si tu kwamba hubeba mbegu za kiume
zisababishazo mimba kutungwa mara zikutanapo na yai la mwanamke, bali
pia huwa yana madini na homoni muhimu ambayo mwili wa mwanamke
huyahitaji sana!
Humpatia raha mara yamwingiapo barabara, kisha huweza
kumletea usingizi mwororo, na zaidi na zaidi kumwacha na akili yenye afya
isiyokuwa na msongo wowote!
Haya Wanawake, naombeni ushuhuda wenu juu ya utafiti huo uliofanyika Marekani!
Lakini sambamba na Utamu huo kumegundulika gonjwa jingine kulekule la
hatari zaidi kuliko UKIMWI litokanalo na uhondo huo wa kujamiiana
pekupeku! Je, jamaa zetu hawa wanatutakia mema kweli?
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / TENDO LA KUJAMIIANA HUMWONDOLEA MWANAMKE MSONGO WA MAWAZO, LAKINI FAIDA KUBWA MANII YA MWANAUME HUMFANYA MWANAMKE KUCHANGANYIKIWA KWA RAHA !!!.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment