Bao la dakika za mwisho la mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo limeiokoa Real Madrid na kipigo kutoka kwa mahasimu wao Atletico Madrid katika mchezo uliopigwa muda mfupi huko Spain katika dimba la Vicente Calderon.
Atlético 2-2 Real Madrid (OMFGOALS.com) by omfgoals
0 comments:
Post a Comment