HII
ni video ya wauza miili a.k.a machangudoa wakichezesha shepu zao katika
msiba wa kahaba mwenzao alietangulia mbele ya haki. Video hii kwa hapa
Afrika ya kusini ni imepata umaarufu mkubwa na watu wengi wamekuwa
wakitumiana kwa njia mbalimbali ikiwemo whatsapp. Kwa sasa hapa Afrika ya kusini inaonekana hii ndio mpya ya kuhudhuria misiba. Hakuna tena mambo ya kulialia, ni kuwa na furaha tu wakati mwenzao anazikwa kaburini.
Hii video inaripotiwa kurekodiwa katika kijiji cha Soshanguye, Pretoria na kwa mujibu wa gazeti la City Press video hii imetengenezea DVD ambayo inauzwa kama njungu na kuipata ni dili sana.
Nyingi zinauzwa katika kituo cha taxi cha Mabopane.
AMA HAKIKA Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, hebu cheki hii video ya machangudoa wakifanya yao.

0 comments:
Post a Comment