BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DIMBWI LA MAJI YA MVUA BARABARA YA MAZIMBU KWAMANYUKI LAWAKERA WENYE VYOMBO VYA USAFIRI NA WATEMBEA KWA MIGUU MANISPAA YA MOROGORO.

Daladala likipita katika dimbwi lililojaa maji yaliyotuwama kwa muda mrefu kukutokana na kuharibika kwa miundombinu ya barabara kuu ya Mazimbu kwa Manyuki kata ya Kihonda baada ya mvua za masika wakati wakisafirisha abiria kutoka Kihonda kwenda mjini Manispaa ya Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.

 Sehemu ya madimbwi madogo madogo barabara ya Mazimbu kata ya Kihonda.
 Center ikikwepa dimbwi katika barabara hiyo.
Mwonekano wa ubovu wa barabara ya Mazimbu Kihonda ndivyo ulivyo katika kipindi hiki cha masika, kazi kwa wenye vyombo vya usafiri
 Mwendesha pikipiki akivuka katika dimbwi la maji huku akiwa ameuziba uso wake.


 Hii ni moja ya aina ya kukwepa maji ili usilowe wakati ukiendesha pikipiki lakini ni hatari.
Aina hii inaitwa acha nilowe akitumia kijana mwendesha pikipiki, usafi mbele kwa mbele.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: