HELKOPTA YA JESHI IKIWA IMEANGUKA HUKU NDANI IKIWA IMEWABEBA VIONGOZI WA MBALIMBALI WA SERIKALI KWA ATHIMA YA KUKAGUA ATHALI ZA MAFURIKO MAPEMA LEO IKIWA UMBALI WA MITA 10 HADI 15 NA KUDONDOKA.
HAPA NI BAADA YA KUANGUKA CHINI.
Lori nalo likiwa limetumbukia katika mto baada ya daraja kuvunjika.
KJJJ
gari likiwa limesombwa na maji na kutuwama hapo
baadhi ya mitaa ya jiji la dar es salaam
daraja likiwa limekatika.
Picha
zinaonesha hali halisi ya jiji la Dar es salaam leo baada ya mvua kubwa
kunyesha tangu jana asubuhi na usiku mzim

0 comments:
Post a Comment