Magoli ya Man U dhidi ya Norwich yalifungwa na Rooney kwenye dakika ya 41 kwa panati na dakika ya 48 huku mawili yaliyobaki yakifungwa na Mata kwenye dakika ya 63 na 73.
RYAN GIGGS NAMNA ALIVYOANZA KAZI YAKE KWA USHINDI AKIIONGOZA MAN U KUIKUNG'UTA NORWICH LIGI KUU UINGEREZA KWA USHINDI MNONO WA 4-0 UWANJA WA OLD TRAFFORD
Magoli ya Man U dhidi ya Norwich yalifungwa na Rooney kwenye dakika ya 41 kwa panati na dakika ya 48 huku mawili yaliyobaki yakifungwa na Mata kwenye dakika ya 63 na 73.

MENEJA
wa Manchester United Ryan Giggs jana ameanza himaya yake kwa ushindi wa
kishindo kwa Goli za Wayne Rooney na Juan Mata kuwapa ushindi wa Bao 4-0
dhidi ya Norwich City kwenye Mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa Old
Trafford.

0 comments:
Post a Comment