BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HILI NDILO MOJA YA MABAO BORA YA CHRISTIANO RONALDO AKIWA NA REAL MADRID.

Cristiano Ronaldo lob and goal vs Borussia Dortmund, in Champions League, in October 2012
Cristiano Ronaldo jana aliwezesha timu ya Real Madrid kuendelea kuwa kwenye mbio za ubingwa baada ya kuifungia bao muhimu la kusawazisha dhidi ya Valencia kwenye ligi kuu ya Hispania – La Liga.

Mpaka kufikia dakika ya 90, Real Madrid walikuwa nyuma kwa mabao 2-1 baada ya Parejjo na Mathieu kuwafungia Valencia mabao mawili, Sergio Ramos akasawazisha lakini mambo yakaendelea kuwa magumu kwa Madrid.

Wakati baadhi ya mashabiki wakiwa wanaondoka uwanjani Cristiano Ronaldo alipokea krosi kutoka kwa Di Maria na akafunga goli kwa kisigino akiwa amelipa mgongo goli la Valencia.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: