BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MADAKTARI WAWILI NA WACHINA SITA WALAZWA BAADA YA KUKUMBWA NA HOMA YA DENGUE JIJINI DAR ES SALAAM.


Madaktari wa Hospitali ya Temeke, Amon Sabasaba na James Mwakipesile (kulia) wakiwa wodini hospitalini hapo jana baada ya kubainika kuwa na homa inayodhaniwa kuwa dengue.
WACHINA TISA WALAZWA AGHA KHAN BAADA KUUGUA DENGUE.

Taarifa kutoka Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam zilieleza kuwa wagonjwa waliobainika kuugua homa hiyo hadi jana ni raia hao wa China na Watanzania wachache wenye historia ya kusafiri nje ya nchi hasa China, Ufilipino na Kusini mwa India.

Muuguzi katika kitengo cha magonjwa ya kuambukiza cha Aga Khan, Nyangee Lugoe alisema hospitali hiyo ilianza kupokea wagonjwa tangu Machi mwaka huu na kuanzia Aprili, raia wengi wa China wamegundulika kuwa na homa hiyo, ingawa baadhi walitibiwa na kuruhusiwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: