BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PITIA MISEMO YA MPOKI ALIYOWAVUNJA WATU MBAVU WAKATI WA TUZO ZA KILI AWARD 2014.





Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi akifurahia ja jambo na Mwarabu wa Dubai a.k.a Mpoki.

Ukiachana na burudani kutoka kwa wanamuziki mbalimbali kwenye hafla ya kukabidhi tuzo za muziki za Kilimanjaro, burudani zaidi ilikuwa ni maneno kutoka kwa MC ambaye pia ni mwigizaji sanaa ya vichekesho Mpoki ambaye alikuwa anawakonga nyoyo waliohudhuria kwa kauli zake tata ambazo zilikuwa zinawavunja mbavu. 
Na hizi ni baadhi ya kauli na misemo ambayo iliwavunja watu mbavu.

Tusiaandikie penseli wakati penny aliyekuwa wa Diamond yupo.
Kama usiku wa jana ulilala na haukuota basi leo lala na mbolea utaota. 

Big up kwa wasichana wote ambao wamevaa vimini kwa sababu walijua kuwa mlimani city hakuna mbu, ahsante sana kwa kwenda na wakati.

Wema mamaa magazeti
Kuchuna buzi na kuchanganya mabwana ni kipaji pia
Ukiona panya anakatisha katisha sebuleni ujue anataka kujulikana.

Kirefu cha HIV ni Hatari Imeingia Vitandani.
Hivi ukiwa mcheza shoo lazima ujichubue?
Na mimi pia ni dokta lakini wa magonjwa ya kike.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: