
Wakati zikiwa zimebakia siku kaadha kuanza kwa fainali za kombe la dunia nchini Brazil mwanamuziki Shakila amefyatua wimbo maalum wa ufunguzi wa michezo hiyo lakini unaweza kuona kwa njia ya video pengine na kutofauti na wimbo mungine ambao alifanya hivyo mwaka 2010 pale Afrika ya Kusini.
Je kati ya nyimbo hizo upi amefanya vizuri zaidi ?.
WIMBO WA KOMBE LA DUNIA 2014 NCHINI BRAZIL,
HUU NI ULE WIMBO WA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2010 AFRIKA YA KUSNI NI WIMBO GANI UNAFURAHISHA ZAIDI KATI YA MWAKA 2010 AMA 2014 ?. UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO !!!.
0 comments:
Post a Comment