SHERIA IKIJA TANZANIA KUWAKUMBA VIJANA NA WASANII NA FAINI YAKE NI SH 80,000 TENA NI YA PAPO KWA PAPO.
Meya wa Pikevile katika mji wa Tennessee Marekani Phil Cagle amepiga marufuku milegezo yote katika mji wake na endapo ukionekana tu umevaa hivyo unalipa faini hapo hapo.
Sasa ishu ni kwamba ukikamatwa tu ukiwa umevaa mlegezo unatozwa dolar 25 hadi 50 ambayo kibongobongo ni zaidi ya 40,000 na 80,000 ingawa sasa haijajulikana vipimo gani atakavyokuwa anatumia kujua kama huu ni mlegezo au sio wenyewe. Source:Uhuru
0 comments:
Post a Comment