Wabunge wapya walioingia mjengoni msimu huu ni pamoja na Mbunge Ridhiwani Kikwete kutoka jimbo la Chalinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga leo wameapishwa rasmi kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.


Picha:Dodomayetu.blogspot.com

0 comments:
Post a Comment