Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala.
Nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa.
Ray C Foundation Pamoja inawezekana.

0 comments:
Post a Comment