Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameeleza kuwa tuhuma zilizotolewa na Kafulila jana kuhusu Utapeli wa Mabilion ya Shilingi Kati ya BOT na Tanesco Ni Lazima Ufanyiwe uchunguzi wa Kina Kubaini nini Hasa Kiliendelea na kama Patakuwa na Kasoro Basi Waliohusika Wachukuliwe Hatua Kali.

0 comments:
Post a Comment