MSHAMBULIAJI WA TIMU YA TAIFA YA URUGUAY, LUIS LUIRES.
STRAIKA wa Uruguay Luis Suarez amefungiwa Miezi Minne kutoshiriki chochote kwenye Soka baada ya kupatikana hatia ya kumuuma Meno Beki wa Italy Giorgio Chiellini. Straika huyo wa Liverpool pia amefungiwa Mechi 9 za Kimataifa zitakazomfanya awe nje ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil.
Adhabu hii pia inamaanisha atazikosa Mechi 9 za kwanza za Klabu yake Liverpool za Ligi Kuu England kwa Msimu mpya.
Tukio hili la kumng’ata Meno Chiellini lilitokea Juzi Jumanne kwenye Mechi ya mwisho ya Kundi D la Fainali za Kombe la Dunia ambayo Uruguay iliifunga Italy 1-0 na kutinga Raundi ya Pili ya Mtoano.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / SUAREZ LUIRES APIGWA ADHABU KALI YA MIEZI 4 NA KUILIPA FIFA DOLA 82.190 NA KUTOJISHUHULISHA NA SOKA WALA KUINGIA KATIKA VIWANJA VYA SOKA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment