BENDERA AFUNGUA MKUTANO WA 98 WA WATAYARISHAJI WA VIPINDI VYA ELIMU KWA UMMA KUPITIA TBC MJINI MOROGORO.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera (katikati) na Mkurugenzi wa shirika la habari Tanzania (TBC) Clement Mshana kushoto wakisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu kulia mara baada ya Bendera kufungua mkutano 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro. mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.PICHA/MTANDA BLOG
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF. kutoka kulia ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu na (katikati) ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro.PICHA/MTANDA BLOG Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akizungumza jambo na Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu kulia na Innocent Mungy kutoka TCRA baada ya mkuu huo kufungua mkutano huo.PICHA/MTANDA BLOG
Mkurugenzi wa shirika la habari Tanzania (TBC) Clement Mshana akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, Mkutano huo umefadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.PICHA/MTANDA BLOG.
Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa mkoani Morogoro ulioanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani Morogoro, Mkutano huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF. PICHA/MTANDA BLOGHapa Mungy akitoa mada wakati wa mkutano huo.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akijaza fomu ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF baada ya kufungua mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambao ulidhaminiwa na Mfuko wa Pensheni wa Pensheni PSPF mkoani Morogoro ulioanza julai 14 hadi 23 huku akishuhudiwa na Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu kulia na kushoto Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro na nyuma yao ni Costantina Martin ambaye ni Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF.PICHA/MTANDA BLOG.
Hapa wakiwa katika vikundi wakijadiliana jambo
0 comments:
Post a Comment