BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PINDA AKABIDHI NYUMBA ZA WALIMU KISHA KUZINDUA CHUO CHA VETA SAME KILIMANJARO.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe katika uzinduzi wa Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Julai 20, 2014 kwa ziara ya siku moja wilayani Same. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa nyumba iliyojengwa na Jaji huyo kama mchango wake kwa Wananchi wa kijiji alichozaliwa cha Mtii. Nyumba hiyo ilitolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Same ili ilitumike kama makazi ya Walimu. Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto wa kijiji cha Mtii wilayani Same baada ya kukabidhiwa nyimba ya walimu iliyojengwa katika kijiji hicho na Jaji Mstaafu Amir Manento, Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kushoto) akipokea zawadi ya miwa kutoka kwa mkazi wa kijiji cha Mtii wilayani Same (jina Halikupatikana)

Mke wa Waziri uu Mama Tunu Pinda akipanda mti chuoni hapo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: