
Watuhumiwa wakipanda gari baada ya kusomewa mashitaka

Watuhumkiwa wakiwa katika gari la polisi .
Viongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) cha Dar es salaam wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni leo wakikabiliwa na mashtaka ya kutupa ovyo viungo vya binadamu. Wakati taarifa kamili ikiandaliwa hebu jionee taswira hizi walipofikshwa mahakamani leo

Watuhumiwa wakitoka mahakamani baada ya kusomewa mashitaka

Watuhumiwa wakiwa wanasubiri kuingia mahakamani.
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii
0 comments:
Post a Comment