JE UNAJUA MAANA YA MTOTO KUPOKEA EKARISTI TAKATIFU KWA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO ?.
EKARISTI NI HATUA MUHIMU KWA MKRISTU KUSHIRI MWILI NA DAMU YA KRISTU, PIA EKASTI NI ISHARA YA UPENDO BAINA YA MUNGU NA BINADAMU.
Mtoto Noreen Peter Mbago akilishwa keki na mpambe wake Mackline Kaunda wakati wa sherehe yake ya Ekaristi iliyofanyika kanisa katoliki Bigwa kisha kufuatia na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Oasis mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG

Ishara ya kupunga mikono iliashiria kumalizika kwa sherehe hiyo, Noreen na mpambe wake Mackline wakiondoka ukimbini kurejea nyumba.
Noreen akipokea sakalameti ya Ekaristi na Pandri Kobero katika kanisa katoliki Bigwa tendo hilo ndilo muhimu zaidi kwani:
EKARISTI NI HATUA MUHIMU KWA MKRISTU KUSHIRI MWILI NA DAMU YA KRISTU, PIA EKASTI NI ISHARA YA UPENDO BAINA YA MUNGU NA BINADAMU.
Ilikuwa furaha na tabasamu la kila aina kwa Dk Mbago na Mrs Mbago baada ya mtoto wao kipenzi Noreen kupokea Ekaristi, hapa wakiwa wamepiga picha ya pamoja katika lango kuu la kanisa hilo.
Furaha iliendelea wakati wakielekea nyumbani baada ya kumalizika kwa ibada hiyo.
0 comments:
Post a Comment