BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JUKWAA LA BIOTEKNOLOJIA (OFAB) LAWANOA WATAFITI WA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA MOROGORO.


Mtafiti kiongozi tume ya taifa ya sayansi na teknolojia, Nicholas Nyange akizungumza jambo kwa watafiti wa kilimo juu ya kutumia teknolojia ya bioteknolojia kwa ajili ya maendeleo ya kilimo cha Tanzania ikiwemo na michakato ya kibaolojia katika viumbe hai ili kupata mahitaji na huduma kwa maendeleo na maisha bora ya binadamu nchini.PICHA/MTANDA BLOG.
watafiti wakifuatilia mafunzo hayo.
Nyange akifafanua juu ya Bioteknolojia nini ?, Bioteknolojia ni taaluma ya kutumia michakato ya kibaolojia katika viumbe hai ili kupata mahitaji na huduma kwa maendeleo na maisha bora ya binadamu.


Hapa wakifuatilia mada ya Usalama wa Matumizi ya Bioteknolojia hapa nchini.
AKIENDELEA KUFAFANUA KWA WATAFITI HAO !!!.
Daraja la Kwanza (miaka 6,000 iliyopita) Matumizi ya micro-organisms bidhaa k.m. mkate, pombe, mvinyo, jibini Daraja la 2 (mwanzo wa karne ya 19) Uzalishaji wa miche kwa kutumia tishu (tissue culture) Daraja la 3 (kuanzia miaka ya 1970) Matumizi ya biolojia molekuli (molecular biology)
Teknolojia ya uhandisi jeni

SERA YA TAIFA YA BIOTEKNOLOJIA. Philbert Nyinondi yeye ni Mratibu wa taifa jukwaa la Bioteknolojia Tanzania-OFAB akifafanua juu ya Sera ya Taifa ya Bioteknolojia, 2010 na
Mkakati wa Utekelezaji.


Baadhi ya watafiti na wadau wengine wakifuatilia mafunzo ya jukwaa la Bioteknolojia mjini Morogoro.

Mtafiti kiongozi wa taasisi ya serikali katika mradi wa mifumo ya kilimo endelevu ya mahindi na mikunde mashariki na kusini mwa Afrika (SIMLESA) nchini,George Iranga naye akifafanua jambo kwa watafiti wenzake.PICHA/MTANDA BLOG

Hii ilikuwa inahusu mada ya baadhi ya sababu za uzalishaji duni wa mazao.


Mratibu wa utafiti kanda ya mashariki, Adrian Mbiza naye akichangia jambo katika jukwaa hilo.



TUNASIKILIZA !!!. Matumizi ya Mbinu za Biolojia Molekuli (Molecular Biology Techniques). Kubainisha sifa za nasaba mbalimbali Ugunduzi wa mbegu bora (marker-assisted breeding) Mfano: mbegu zilizotolewa na WEMA Kutambua aina mbalimbali za magonjwa.









Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: