BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!! MADEREVA WA MABASI YA MIKOANI WAFANYA MGOMO UBUNGO DAR ES SALAAM.


Kuna mgomo Mkubwa wa madereva hapa Ubungo bus terminal, huu unafuatia kikao chao SIRI jana kilichowakitanisha na Sumatra pamoja na Traffic makao makuu.
Hadi sasa hatma ya abiria bado haijajulikana na hakuna dereva aliye tayari kuzungumzia nini kilichosababisha huo mgomo.

Tutaendelea kujuzana kinachoendelea!
========================
Madereva hawakukubaliana na amri ya kutembea na vyeti vyao walivyopata baada ya kuhitimu mafunzo ya udereva wa magari ya abiria.CHANZO http://www.jamiiforums.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: