BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA !!! NI AJALI NYINGINE YATOKEA MKOANI SONGEA KWA BASI KUGONGA MTI KISHA KUUNG'OA HUKU WATU WAWILI WAKIPOTEZA MAISHA.

 
Ajali nyingine imetokea mkoani Songea huku watu wawili wakifariki dunia.

Gari lililopata ajali ni mali ya kampuni ya Super Feo aina ya Sosa inayofanya safari zake toka Songea kwenda Makambako na kutokana na chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi baada ya kuacha njia na kugonga mti na kuung'oa.


HABARI ZAIDI ZA TUKIO HILO TUTAENDELEA KUWAJULISHA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: