BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MECHI YA MTIBWA SUGAR ILIVYOIHENYESHA YANGA BILA SHURUTI NA MASTAA KIBAO AKIWEMO JAJA, KIISA NA NGASSA JAMHURI MORO MJI KASORO BAHARI.

Mlinda mlango wa klabu ya Mtibwa Sugar Said Mohamed akidaka mpira huku mshambuliaji wa Yanga Genilson Jaja akiwa amedhibitiwa na mlinzi wa klabu hiyo ya Mtibwa Salim Mbonde wakati wa ufunguzi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara msimu wa mwaka 2014/2015 katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.Yanga ilikubali kipigo cha kufungwa bao 2-0.PICHA/MTANDA BLOG
Mshaambuliaji wa Yanga Mrisho Ngassa akichuana na mlinzi wa Mtibwa Sugar Salim Mbinde wakati wa ufunguzi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara msimu wa mwaka 2014/2015 katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.Yanga ilikubali kipigo cha kufungwa bao 2-0.PICHA/MTANDA BLOG
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paulo (mwenye kaunda suti) akiwa amekaa na maafisa wa jeshi hilo wakati wakiimarisha ulinzi katika mchezo baina ya Mtibwa Sugar na Yanga katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara msimu wa mwaka 2014/2015 katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.Yanga ilikubali kipigo cha kufungwa bao 2-0.PICHA/MTANDA BLOG
Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza kulia akiwania mpira na mlinzi wa Mtibwa Sugar Andrea Vicent wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara msimu wa mwaka 2014/2015 katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.Yanga ilikubali kipigo cha kufungwa bao 2-0.PICHA/MTANDA BLOG
Kessy Kidingile na Mrisho ngassa wakichuana. PICHA/MTANDA BLOG
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: