BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAWAPONZA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI TANZANIA, WATANO WAFUKUZWA KAZI NA HAWA GHASIA.

http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Hawa-Ghasia.jpg 
MHE. HAWA GHASIA ASEMA HAJIUZULU NG'O KUFUATIA KASHFA YA KUVURUGIKA KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema leo Jumatano Desemba 17, 2014, kuwa hatajiuzulu ng’o kutoka wadhifa wake, kufuatia kashfa ya kuvurugika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini Jumapili iliyopita.

Badala yake, waziri Ghasia amesema wakurugenzi watano wamefutwa kazi, huku wengine kadhaa wamesimamishwa na wengine kushushwa vyeo.

Waziri Ghasia, akitoka kwenye cnhumba cha mkutano na waandishi wa habafri mara baada ya kuzungumza nao

Waziri Ghasia na katibu mkuu wa TAMISEMI, Jumanne Sagini

Tangazo la waziri Ghasia alilotoa leo Jumatano Desemba 17, 2014, kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam

Wakurugenzi watano wamesimamishwa kazi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: