BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MENEJA WA ABOOD MEDIA AUPIGA TEKE UKAPELA MOROGORO.

 http://www.jumamtanda.blogspot.com/2014/03/zifahamu-styles-6-za-kiufundi-za.htmlMeneja wa Abood Media Morogoro, Abeid Dogoli na mke wake, Fransisca Kalindo wakiwa na tabasaamu mara baada ya kufunga naye pingu za maisha bomani kisha kufuatiwa na sherehe kabambe iliyowakutanisha ndugu, jamaa na marafiki na kufanyika katika hoteli ya kitalii ya Glones 88 mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG
Meneja wa Abood Media Morogoro, Abeid Dogoli akimvalisha pete mke wake, Fransisca Kalindo baada ya kufunga naye pingu za maisha bomani.
Maharusi wakiingia ukumbini
http://www.jumamtanda.blogspot.com/2014/03/zifahamu-styles-6-za-kiufundi-za.htmlMbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood akiwa katika sherehe hiyo.
 
Huyu ni MC James William a.k.a Abunuwasi ambaye ndiye alikuwa akisherehesha sherehe hiyo.
 
Mwandishi wa Mwananchi Morogoro Lilian Lucas Kasenene akiwekewa kinywaji maalumu na mhudumu.

Baba mzazi wa Abeid Dogoli akigonganisha glasi na baba yake Mzee Ramadhan Dogoli.
 Bi harusi akijichanganya na wageni waalikwa.
Huyu mwenye kicheko ndiye Bw harusi Abeid naye akiwapa hi ndugu, jamaa na marafiki.
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood akizungumza neno kwa Abeid Dogoli wakati akimpongeza.
Katibu tawala wilaya ya Morogoro, Alfred Shao akifungisha ndoa ya Meneja wa Abood Media Morogoro, Abeid Dogodi na mke wake, Fransisca Kalindo kisha kufuatiwa na sherehe kabambe katika ukumbi wa hoteli ya kitalii ya Glones 88 mkoani Morogoro.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: