Naibu waziri wa fedha na naibu katibu mku wa ccm,
Mwingulu Nchemba akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa shule
ya msingi Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro juzi.PICHA/MTANDA BLOG.
Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiwa na mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdulaziz Abood wakiwa wamekaa chini wakati wakimsikiliza naibu waziri wa fedha na naibu katibu mku wa ccm, Mwingulu Nchemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mkoani Morogoro juzi.
0 comments:
Post a Comment