Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie Januray 21, 2015
kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha
upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini
Arusha. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,,
Naibu Rais wa Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni
wa Uganda, Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini,
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya
Kusini Dkt Riek Machar.Picha kwa hisani ya www.blogger.com
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie Jumatano
Januray 21, 2015 kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano
ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha. Ambao ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilal,, Naibu Rais wa Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri
Museveni wa Uganda, Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya
Kusini, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa
Sudani ya Kusini Dkt Riek Machar.Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
(kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakifurahia wakati Rais Salva Kiir
Mayardiy wa Sudan ya Kusini (wa pili kushoto) na Makamu wa Rais wa
zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha Januari 21, 2015 usiku.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kimataifa /
siasa
/ RAIS DK JAKAYA KIKWETE NA TIMU YAKE NAMNA WALIVYOWAKALISHA CHINI RAIS WA SUDAN KUSINI NA HASIMU WAKE ARUSHA TANZANIA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment