BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UGAIDI NOMA: MHUDUMU WA SUPERMARKET ALIVYOWANUSURU WATEJA 17 NA KIFO KWA KUWAFICHA KATIKA JOKOFU.

http://www.leanoticias.com/wp-content/uploads/2012/06/foto-1-El-Gato-don-un-frizer-a-madre-de-familia.jpg
Mamia ya wanajeshi wanashika zamu mjini Paris baada ya siku tatu za ugaidi zilizouwa watu 17, huku taarifa zikitokeza kuhusu jinsi mfanyakazi Muislamu wa supermarket ya Wayahudi mjini Paris alivyowaficha wateja 15 pamoja na mtoto mchanga wa mwezi mmoja wakati duka hilo liliposhambuliwa na gaidi.

Aliwaficha wateja kwenye chumba cha barafu.

Lassana Bathily, kijana wa asili ya Mali, aliiambia televisheni ya Ufaransa kuwa aliwaongoza wateja waliokuwa wamebabaika, hadi chumba cha chini kwa chini.

Alizima mtambo wa barafu na kuwaomba wakae kimya na alirudi juu dukani.

Baada ya duka hilo kukombolewa na askari wa usalama, Lassana Bathily alisema wateja walimshukuru kwa kunusuru maisha yao.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: