BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA: MSANII CHID BENZ AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU DAR ES SALAAM.


http://api.ning.com/files/KW9VVRk7bu0k9ZmBIvCANU2bzLmp-JqI1i3cajeF8GH8VP0XqTirgpftyJ2EnLQqjMlTIe1ToTnVJIInXrN82WPgfculhrpE/CHID.jpg 

Rashid Makwiro 'Chid Benz'.  



Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha miaka miwili jela Msanii wa Hip Hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' au kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin yenye thamani ya sh. 38,638, bangi ya sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: