BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA YAIFUMUA MBEYA CITY KWA KUITANDIKA BAO 3-1 UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcAw28UIMofC21MvcPZ4aPMRgTqvOuUhgvPy_vUdJnPJMlTzyLR1-fqrwZjk8gyG2sclFZo8bb1YUSXZCqK1ev2sc0IxVLJJcbcMEwdYIqOMSHEW_FztbRsOdhyBGd5D8sBHD0u40_qjyY/s1600/MMGL0186.jpgMlinda mlango wa klabu ya Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiwa ameduwaa baada ya mpira kutinga wavuni wakati wa mchezo wao na Yanga SC katika ligi kuu Tanzania bara uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo mchezo huo Mbeya City wamekubali kipigo cha bao 3-1.

 
Mabao ya Yanga walifungwa na Kpah Sean dakika 17, Simon Msuva, Salum Telela 37 Dakika ya 50, Nadir Haroub cannavaro.
BAO la Mbeya City limepachikwa wavuni na Themi Felix.picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: